Nollywood actress Patience Ozokwor, in the movie Deadly Emotions, was not only threatened in her home but her teenage daughter was raped by armed men, which left a devastating effect on the entire family.
Patience's husband commits suicide because he feels he has failed his family and cannot live with himself. Annabel, the child who was raped, stops caring about life and starts to behave recklessly. As the family gradually gets over the incident Annabel gets engaged but surprisingly, her mother violently opposed the marriage. Read More...
- Kampuni ya 23 MarketingKe imekiri kuchora fuvu kwenye gari lilotumika katika shambulio la DusitD2
- Kampuni hiyo sasa ipo chini ya uchunguzi, wasimamaizi wake wakieleza kuwa wako tayari kutoa ujumbe unaohitajika na polisi
- Mmiliki wa gari hilo ambaye pia alikuwa mmoja wa magaidi alikuwa akiishi katika mtaa wa Ruaka
Habari Nyingine : Mjue mwanamke aliyesababisha kuvunjika kwa ndoa ya mtu tajiri zaidi duniani Jeff Bezos
Polisi wamefanikiwa kuipata kampuni ambayo ilifanya mchoro wa kishetani kwenye gari lilotumika katika shambulizi la 14 Riverside Drive. Read More...